Uchawi Uwanjani

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,352
9,321
Salaam wakuuu,

Dunia haitaishiwa maajabu,

Video hapo chini inaonyesha kitu kilichowekwa kwenye goli kinachozuia nyasi kutikisika katika mechi moja inayohusisha timu mbili zinazoshiriki ligi kuu nchini Rwanda.

Mchezaji mmoja alistukia mchezo akaenda akakitoa kitu ambacho wapinzani hawakufurahishwa nacho wakaamua kumkimbiza wakichukue ila akawatoka.

Baada tu ya kutolewa haikupita muda wakafungwa

Nawasilisha
 
usinikumbushe uchawi kuhusu mpira naweza kuandika visa visa vingi nilivyopitia kuhusu huu mchezo na maisha yangu
 
Yanga ya mzee Matunda,ilikuwa balaa kuamini ndumbaz..
IMG_6744.jpg

IMG_6718.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom