wembe mkali
Member
- Feb 1, 2017
- 31
- 31
Hizi timu zinafanana herufi za majina.. zipo dimbani muda huu... sijaona tv inayorusha live ila nasikia Radio kwa jirani ikitangaza...
Tupeane updates..
Tupeane updates..
Dah natamani mechi ingekuwa liveGo yanga go
Redio gani mkuu?Hizi timu zinafanana herufi za majina.. zipo dimbani muda huu... sijaona tv inayorusha live ila nasikia Radio kwa jirani ikitangaza...
Tupeane updates..
Abood RadioRedio gani mkuu?
Yebo jitahidini hata Mfike hatua nzuri...... huku sisi tumeshakaa kileleniHT'
Ngaya 0 - 2 Yanga
Zullu 44' Msuva 45'
#KlabuBingwaAfrika#
AKIBA
1- Ali Mustafa
25- H. Kessy
3- O. Joshua
28- E. Martin
21- J. Mahadhi
22- J. Makapu
4- D. Kaseke
#FCBLive#CAFCL#