Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama ambavyo UZI huu unasomeka kwenye kichwa cha habari, naomba uwe maalum (stick thread) kwa mashambiki wa mpira wa timu zote za Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kukutana, kwa lengo la kujuzana...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
TANZANIA YAZIDI KUPOROMOKA VIWANGO VYA FIFA Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limetoa orodha mpya ya ubora wa viwango vya soka Duniani kwa nchi Wanachama , na Vinara wake bado ni Argentina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Cosmasy Choga Binadamu huzaliwa na kupitia hatua zaukuaji na hawezi zikwepa,kwanza ni kutambaa na pili ni kusimamia vitu ndipo sasa hutembea kidogokidogo. Ndivyo ilivyo katika shule...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naona mwenyekiti wetu amepaniki kiasi kwamba anahusisha mambo yqke binafsi na uwenyekitu je wanayanga tutaadhirika ama tujipange upya
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Watu 17 wameripotiwa kufariki na wengine 60 kujeruhiwa vibaya baada ya mkanyagano kwenye uwanja mmoja wa mpira nchini Angola. Mkasa huo umetokea katika mji wa kazkazini mwa nchi hiyo Uige na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (29) amenunua nyumba ya jirani yake sababu walikuwa wakimsumbua kwa kelele. ===== Lionel Messi once bought his neighbours' house to keep down the noise...
1 Reactions
6 Replies
9K Views
Yanga kwa sasa inamiliki makocha wanne bora afrika mashariki.Baaada ya uteuzi wa Lwandamila kuwa kocha mkuu wa Yanga klabu hiyo kongwe na maarufu nchini ilimteua aliekuwa kocha wake Hans Pluijm...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Arsenal ni sharti iamini kwamba bado inaweza kushinda ligi ya Uingereza msimu huu licha ya pengo la pointi 12 kati yake na viongozi wa ligi Chelsea ,kulingana na mkufunzi Arsene Wenger. The...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
10.07.2015.. "Christian Ronaldo wa Uganda".. Okwi, alisajiliwa na SonderjysjkE inayoshiriki Super Liga ya nchini Denmark. Hii ilikuja baada ya wazungu kupagawa kisawasawa na kiwango cha hali ya...
1 Reactions
33 Replies
29K Views
Kamwene wadimi na wanyalu wote wa hapo mshindo na viunga vyote vya mkoa wa Iringa.Niwapongeze kwa kuweza kuirejesha timu ya lipuli kwenye ligi kuu ya vodacom. Nampongeza mwanamichezo DC Kasesela...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Na Cosmasy Choga WENGER:Mashabiki wawe kama wa timu nyingine. Ikiwa ni siku chache kupita toka mashabiki wa Arsenal wabebe mabango yenye ujumbe wa kutaka kocha wa timu hiyo aachie wengine...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Home | Black Inventors | Inventor Resources | Invention Help FAQs | Site Map
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Na Cosmasy Choga Ukiwa shuleni utajifunza mambo ya lensi mbinuko na mbonyeo na kila moja hufanya kazi yake mbinuko kufanya uone mbali wakati mbonyeo kufanya uone Karibu,anyway Soka nalo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dah,huyu jamaa alitutesa sana simba,enzi hizo mtangazaji akisema"na nambari 11 ni kama kawaida edibily lunyamila!" mapigo ya moyo yalikuwa yana change ghafla kwa kusikia tu jina,akishika mpira ndo...
1 Reactions
83 Replies
30K Views
TIMU ya Kimondo Super SC imeshushwa madaraja mawili (hadi ligi ya Mkoa) na matokeo ya mechi zake zote ilizocheza katika kundi B ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) yamefutwa kwa kushindwa kufika...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
By Nicasius Agwanda Katika ubongo wa mpenda soka yeyote, katika fikra za binadamu anayeufahamu mchezo huu na kwenye macho ya mtu anayesisimka kila anapotazama soka ambayo ndio inayoongoza kwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mourinho kocha mreno kwa sasa akifundisha Man utd kipindi chake cha usajili alimsajili Paul Pogba kwa gharama za usajili zilizovunja rekodi ya dunia huku muitaliano naye akimsajili kijana wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Shirikisho la soka baran Afrika CAF leo limetangaza makundi ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ambayo Tanzania imefuzu Katika michuano jiyo...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
WINGA wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Edibily Lunyamila leo hii asubuhi amekimbizwa katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kusumbuliwa na kifua na sasa anapumua kwa msaada wa mashine...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Back
Top Bottom