brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Jana PSG wameshinda goli 4 kwa 0 dhidi ya barca.
Sheria na kanuni za UEFA zinasema timu moja isipoingia uwanjani wapinzani wake wanapewa ushindi wa points 3 na goli 3.
Swali je ?PSG wakiamua wasipeleke time uwanjani pale camp Nou kwenye mechi ya marudiano
Maana yake Barca watapewa ushindi wa 3 kwa 0.
Jumla itakuwa ni PSG 4 barca 3
Vipi PSG watafanikiwa kufuzu hatua inayofuata?