sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Habari zikufikie popote ulipo kua... Ile timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba SC jana imetinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Na hii ni baada ya kuwagagadua ipasavyo African Lyon, goli 1-0.. mfungaji akiwa ni 'Le Tormentor' Laudit Mavugoal.. Ni hawa hawa African Lyon walituchafulia rekodi yetu katika VPL.. kilichowakuta jana ni salamu tu, tunawasubiri tena katika ligi kuu.. huko dozi yao itakua ni nzito zaidi.
Mechi zingine zilizobaki za hatua ya 16 bora ni kama ifuatavyo;
OMBI LANGU KWA TFF:
1. Kama Ndala wakifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali.. Japo ni ngumu.. Tafaaaaadhali tupatieni sisi "tuwashugulikie" tumewamisi.. maana ni muda sana.
2. Kama ikiwa ngumu kwa Ndala.. maana watatolewa tu na Kiluvya.. Mtupatie Azam.. Huyu tunamhitaji sana kabla msimu huu haujaisha.. Haiwezekani 'amshike sharubu' Mnyama alafu tumuangalie tu.. TFF tupeni huyu.