Live Updates kutoka Kambarage Stadium: Stand Utd vs Mbeya City

Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,148
2,224
Kama kawa kama dawa mwana! Leo nawaletea live updates za mechi kati Stand Utd "chama la wana" na Mbeya City "Timu ya kizazi kipya" kutoka uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga
 
Mpira ni half time hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.. Kiemba, Selembe na Massawe wakitulia wataleta positive change... ila ankali Ngassa duuh kawa garasa nafkiri msimu ujao atarud timu za daraja la kwanza
 
Mpira umesimama kidogo baada ya tafrani la kushikana uchawi
 
Kunatokea piga nikupige langoni kwa Mbeya city!! Penaltii refa anakataa na kusema ni kona
 
Back
Top Bottom