Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,758

Huyu dogo Bradley Lowery shabiki wa Sunderland aliambiwa na madokta kwamba zimebaki siku60 tu afe ambazo zimetimia jana,aliomba kabla hajafa aje shujaa wake mshambuliaji Jermaine Defoe awe nae kitandani wakati izrail anafanya yake.inasikitisha sana aisee mtu kuzijua siku zako za kufa.Mungu amtendee miujiza.