Bad news kwa vilabu vinavyoshirki ligi ya Vodacom: TRA wazuia akaunti za TFF..

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,415
Points
2,000

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,415 2,000
TRA wamezuia akaunti zote za TFF ikiwamo ile yenye hela za kuendesha Ligi ya Vodacom.. TRA wanadai kulipwa kodi ya mishahara ya waliokuwa makocha wa timu ya Taifa kuanzia kwa Mbrazili Maxio Maximo mpaka huyu wa sasa hivi..

Source: Radio One..
 
SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,766
Points
2,000

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,766 2,000
Kwani katika hiyo mikataba ya hao makocha ni nani alikuwa mwajiri? Kama ni TFF basi wao ndio walikuwa na wajibu wa kuhakikisha kuwa kodi inalipwa.
 
Joined
Aug 14, 2012
Messages
12
Points
45
Joined Aug 14, 2012
12 45
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chini ou.PNG ou.PNG dc.PNG nomo.PNG gg.PNG
 
runyaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2013
Messages
498
Points
250

runyaga

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2013
498 250
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chini View attachment 471116 View attachment 471116 View attachment 471117 View attachment 471120 View attachment 471119
Acha ujinga, anzisha uzi wako
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
48,205
Points
2,000

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
48,205 2,000
[BONGOTIPS FOOTBALL PREDICTIONS] (www.bongotips.com) ni site mpya kutoka hapahapa TZ inayokupa utabiri wa mechi mbali katika ligi tofauti zinazoendelea duniani.
Pata records za mechi zilizopita, pata utabiri wa watumiaji wa site, pata utabiri wa bongotips, tembelea forums kwa majadiliano ya mechi. na mengineyo mengi.
Wapenda soka na kubet wengi wameshajiunga na site hii kupata utabiri. Unangoja nini join the community "BONGOTIPS HATUCHANI MIKEKA WEKA PESA CHUKUA PESA". Utabiri wa jana picha zipo chini View attachment 471116 View attachment 471116 View attachment 471117 View attachment 471120 View attachment 471119
asane brother,.. huna group la whatsapp?
 
Forum statistics

Threads 1,389,560
Members 527,958
Posts 34,028,223
Top