Clubs zetu za Mpira, Wadhamini wake na Madawa ya kulevya

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Kumekuwa na maneno ya miaka mingi toka enzi za akina Abbas Gulamali na Azim Dewj kuhusiana na kuwa wadhamini wa klabu zetu maarufu wamekuwa wakizitumia kufanyia biashara ya madawa ya kulevya.

Madai hayo yameendelea mpaka miaka ya hivi karibu klabu flan ikihusishwa na kutumika kwa baadh ya wachezaj wake kusafirisha madawa ya kulevya pale wanapoenda kwenye mechi za kimataifa za mazoezi nchi mbalimbali ikiwepo uturuki ambayo ni moja ya nchi zinazojihusisha sana na biashara hii. Huko kikundi cha PKK ...kurdistan worker's party. Kimekuwa kikihusishwa sana na ukusanyaji wa mapato yao kupitia madawa ya kulevya.

Kuna watu wamewah sikia scandal moja kubwa iliyofahamika kama susurluk. Na uzalishaji wa mbegu ambazo hupelekea kutengenezwa Heroin.

Uturuki imekuwa ni kiungo kizuri cha usafirishaji madawa ya kulevya yanayozalishwa afghanistan yanapitishwa hapo kupelekewa europe.

Kumekuwa na maneno kuwa wachezaji wa hizi team kubwa wamekuwa wakitumika kama punda wa kusafirishia mizigo hii ya madawa wakiwa wanajua na pia pasipokujua jambo hili. Mara nyingine wanapokuwa wanapelekwa kwenda kupiga kambi nje ya nchi kwa maandalizi ya mashindano au mechi flan huwa wanakuwa wamebebeshwa mzigo. Wengine wakifaham na wengine pasipo kufaham.

Mbali na wachezaji wa mpira wasanii wa maigizo,nyimbo na watu maarufu pia. Na hawa wamekuwa wakishirikiana na watu maarufu kibiashara au kisiasa. Wanapangiwa show za nje ambazo kiuhalisia ukiensa angalia utakuta hazilipi kiasi kile ila kwa kuwa lengo ni kusafirisha dawa basi inakuwa haijampa hasara yoyote maana atapata pesa yake akiwa kama punda.

Tumeona wasanii ambao wamedhaminiwa mpaka kuish south afrika na wanapopata matatizo wanashughulikiwa na mabwana wa madawa ikiwa ni pamoja na ikitokea amefariki wanasafirishwa kurudishwa wakiwa wengine na madawa tumboni.

Wafadhili hawa ambao huonekana wakijitolea sana kuzisaidia team hizi kubwa kwa madai ya mapenz mara nying wamekuwa na ajenda ya siri. Hakuna mfanyabiashara ambaye atatumia pesa zake tim x and y pasipo kuwa na faida. Hakuna.
 
Anayechukulia suala hili kishabiki ni mjinga kweli kweli
 
uturuki ni miongoni mwa nchi saba duniani ambazo zimeruhusiwa kuzalisha madawa ya kulevya kwa ajili ya matumizi ya afya ukiunganisha dot na zile kambi za uturuki utapata jibu
 
Back
Top Bottom