UEFA Champions League: Hatua ya Mtoano ya 16 Bora

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Leo ndio ile hatua ya mtoano ya 16 bora inaanza, mechi za Leo ni

Benfica Vs Borussia Dortmund
PSG Vs Barcelona

Mechi za Kesho:
Bayern Munich Vs Arsenal
Real Madrid Vs Napoli

Karibuni kwa mjadala, kabla ya mechi, wakati wa mechi na baada ya mechi.

Unahisi nani ataibuka na ushindi kwa mechi tajwa hapo juu tukianza na mechi za leo?
C4sJ0NjW8AIw7_k.jpg

C4luf9KUYAA1IZ_.jpg
 
Honestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda
That means ushindi wa wenyeji Leo ni draw
Ukifuatilia vyema PSG hawako vyema msimu huu japo addition ya draxter umeleta kitu tofauti sana kwenye ushambuliaji
But sioni wakishinda mbele ya barca
 
PSG hata walipokuwa kamili kipindi cha David Luiz na Zlatan bado walikuea wana- struggle pindi wakikutana na Barca.

Tusubirie dk90 pale Parc Des Princes
 
Honestly sioni kama wenyeji Leo wana nafasi ya kushinda
That means ushindi wa wenyeji Leo ni draw
Ukifuatilia vyema PSG hawako vyema msimu huu japo addition ya draxter umeleta kitu tofauti sana kwenye ushambuliaji
But sioni wakishinda mbele ya barca
Kweli kabisa hata Mimi naona easy win kwa wageni, psg leo Kuna uwezekano wakawakosa thiago Silva, motta na krychowiak,

Pia rekodi ya Emery Kama kocha ni mechi moja tu alowahi shinda dhidi ya barca

Benfica vs bvb ndio mechi nitakayopoteza usingizi wangu wa leo nikiitizama,
 
Benafc kwa leo nawatakia
Psg ushind

Pia huko ureno
Nawatakia wenyej ushind
Benifica
 
Huyu Draxler ni balaa, naona anawasumbua sana mabeki wa Barcelona
Barca wakiendelea hivi wanaweza kupigwa magoli zaidi ya manne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom