Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari zenu wakuu, Ninaomba msaada wa Option za Long List maana mimi najua chache kama 1- timu ya nyumbani ishinde 2- timu ya ugenini ishinde ........ Basi ila zingine sijui hivyo naomba...
0 Reactions
1 Replies
19K Views
Wakuu hii kitu nimetafakari sana, binafsi naona kuna wanasoka wa Bongo ambao kila nikitazama soka lao naona kabisa wangeweza au wanaweza kucheza soka la Ulaya. Mfano Mchezaji kama SHADRACK...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Wachezaji Obrey Chirwa anayechezea timu ya Yanga pamoja na Mavugo wa simba wanatakiwa wawe fundisho kwa wapenzi na mashabiki wa soka Tanzania. Watanzania tunapenda sana njia ya mkato, tunapenda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Klabu ya Yanga imeangukia mikononi wa MC Alger ya Algeria katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca. kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist. Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi. Kuna umuhimu gani wa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
hivi hawa azamfc tatizo nini hasa pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanywa lakini bado hafanyi vizuri mechi za kimataifa dah tatizo nini jamani man uwanja wa kisasa wachezaji wa kimataifa lakini bado...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman naomba kujua baadhi ya wasanii toka Afrika ambao nyimbo zao zimewahi tamba kwny Billboard ya nyimbo 100 bora dunian huko Marekani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu mimi ni shabiki wa kutupwa wa simba lakini naombeni msaada wa ufafanuzi wa kanuni za kombe la shirikisho Tanzania ,utata unakuja kwa nini bukungu basala Leo acheze wakati alikula radi dhidi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wkt mchezo wa magari tanzania ngazi ya kitaifa unaingia raundi ya sita inayotarajia kufanyika jijini arusha ili kumpata bingwa wataifa wa mchezo huo nakaribisha maswali yoyote yanayohusiana na...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Arsène Wenger remains determined to stay on at Arsenal for yet another cycle despite the club being mired in the worst sequence of Premier League results of his long tenure. Wenger’s team slumped...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pongezi tuwap waie Vijana wa Serengeti Boys walivyojitahidi, ingawa kwa "figisufigisu" kuwa moja za timu iliopania kufanya makubwa nchini Gabon. Itakuwa si vizuri tukapora...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Dear Arsenal Natumai u mzima, Napenda kukujulisha kwamba kesho ntakukabidhi zawadi ya nafasi ya sita , zawadi hii nilipewa kwa mashart kuwa endapo na mimi nikimpata mtu mwaminifu...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu na washabiki wa mchezo wa kabumbu tayari wawakilishi wetu wote ambao ni Azam na Yanga wametolewa nje ya kinyang'anyiro haijalishi kwa uzembe au la! kufugwa ni kufungwa maana ufanyapo kosa...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Dear arsenal, Nashkuru sana kwa kukubali mwaliko wa kuja kuchukua zawadi yako ya nafasi ya sita. Kama nilivyokwisha kusema mwanzoni kuwa nafasi hii nilipewa na kuambiwa niitunze paka...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Niwaambie tu Mashabiki wa Yanga kuwa ondoeni hofu, leo ni siku ambayo itakuwa chungu kwa Wazambia hao kwani watabanduliwa kwenye michuano kwa idadi nzuri tu ya magoli. Kama hiyo mechi itarushwa...
5 Reactions
111 Replies
9K Views
Azam Fc kashinda 1-0 nyumbani lakini alizidiwa muda mwingi wa mchezo, Goli lenyewe walilopata ni la Offside. Jana Yanga nae akiwa nyumbani alitoa suluhu 1-1 dhidi ya Zanaco huku wakicheza katika...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Daa!!!!!arsenal mbona mnanitesa nyie mi kabila lang mhehe mjue alaf uyu kocha anayefanana na Mr bean kwan timu yake iyo so aondoke jmn[emoji27] [emoji27]
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kuwa wazanzibar kwa umoja wao wanashindwa kudai kujitoa kwenye Muungano kwa njia za uwazi. Kujitoa kwenye ligi ya Muungano (super league), kuomba na kupata uwanachama wa CECAFA na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Muholanzi Hans van Pluijm. Ameanguka Saini ya Miaka Miwili Kuifundisha Timu iliyopanda Daraja (VPL) Mwaka huu Singida United. Nafikiri huu utakuwa ni Mpango wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom