Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Pongezi tuwap waie Vijana wa Serengeti Boys walivyojitahidi, ingawa kwa "figisufigisu" kuwa moja za timu iliopania kufanya makubwa nchini Gabon.
Itakuwa si vizuri tukapora ushindi wao uwe ya Tanzania yote wakati Zanzibar haimo wala haibariki ushiriki huo.
Napenda TFF ikajitayarisha kupeleka Bendera ya Tanganyika kwenye michuano hiyo kuinadi Serengeti Boys. Urahisi wenyewe Bendera ya Tanganyika haikutafautiana na ile ya Tanzania. Zanzibar haikubali kujumuishwa na kuitwa " KIchwa cha mwenawazimu". TFF ijinasabishe kuitwa " KIchwa cha mwenawazimu cha Tanganyika" na sio Tanzania