Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,697
Niwaambie tu Mashabiki wa Yanga kuwa ondoeni hofu, leo ni siku ambayo
itakuwa chungu kwa Wazambia hao kwani watabanduliwa kwenye michuano
kwa idadi nzuri tu ya magoli.

Kama hiyo mechi itarushwa nawaambia hata wale wenye Presha waitazame
leo ni siku ya furaha kwelikweli.
 
Yanga hii ya dakika 45 za kwanza? Au yanga nyingine? Na kocha huyo huyo George Lwandamina? Kwa kocha huyo msitegemee ushindi ugenn
 
Mkuu mm ni mpenzi wa yanga lkn Leo tunatolewa rasmi tatizo si wachezaji tatizo ni kuwa na kocha bonge la mzigo
Kabisa! Hata sub zake huwa za hovyo sana akifanya sub ujue ndio timu ameivuruga. Kwa tulipofikia hata hamu ya kusema uwashe tv uangalie yanga yote inatoweka mana hakuna raha zaidi ya karaha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom