T the muter JF-Expert Member Oct 31, 2012 1,330 1,799 Mar 21, 2017 #1 Klabu ya Yanga imeangukia mikononi wa MC Alger ya Algeria katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Klabu ya Yanga imeangukia mikononi wa MC Alger ya Algeria katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
V Vyamavingi JF-Expert Member Oct 3, 2014 5,794 5,507 Mar 21, 2017 #2 Huko wanakopelekwa ni pagumu kuliko huko walipotoka. Vv
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Mar 21, 2017 #5 Msijali nitaongea na Alwatani wenzangu tutawaachia mshinde ...'kwa sharti mumwachie Manji!!!!
O Odili JF-Expert Member Feb 8, 2015 1,771 1,387 Mar 21, 2017 #6 Warabu tena? Aaghr! Yebo wanaonewa sana.
Sibonike JF-Expert Member Dec 23, 2010 17,294 18,027 Mar 22, 2017 #9 Mkale said: hawachomoki.. Click to expand... Kwani walichomeka nini?
Blank page JF-Expert Member May 28, 2015 5,212 4,328 Mar 22, 2017 #10 tutashindaaaa...naamini na itakuwa ivo.