wakuu mimi ni shabiki wa kutupwa wa simba lakini naombeni msaada wa ufafanuzi wa kanuni za kombe la shirikisho Tanzania ,utata unakuja kwa nini bukungu basala Leo acheze wakati alikula radi dhidi ya yanga kwenye mchezo wa ligi kuu je mchezaji akipewa kadi kwenye ligi kuu kwenye azam federation cup haitumiki? kama ndio kumbe Tanzania ni tofauti na wenzetu uingereza? naombeni msaada tafadhari