Mwanasoka gani wa bongo unahisi alistahili au anastahili kucheza Ulaya?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,697
Wakuu hii kitu nimetafakari sana, binafsi naona kuna wanasoka wa Bongo ambao kila nikitazama soka lao naona kabisa wangeweza au wanaweza kucheza soka la Ulaya. Mfano Mchezaji kama SHADRACK MSAJIGWA kwa
kiwango chake angeweza tu kucheza Everton, Southampton n.k

Je, nani unafikiri amekosa au alikosa tu bahati lakini kiwango cha kucheza timu za Ligi kuu za Ulaya alikuwa nacho au anacho?
 
Back
Top Bottom