ZANACO special thread.

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,294
Huu ni Uzi maalum kwa Mapenzi wa timu yetu pendwa zanaco ya zambia
Kama mnavyojua Leo tunacheza na timu yanga Africans ya Tanzania.namaba tukutane hapa kwa wale wote ambao hatutakuwa uwanjani tushangilie timu yetu..

Mungu ibariki zanaco fc.
 
Mtoa mada nadhani ni Matopeni fc sio bure
 
Mpka sasa goli ni 1-0 yanga wanaongoza japo hali ni mbaya sana kwa upande wao..mpira ni mapumziko...
 
Simba bhana....ha ha ha haaaa,mrudi matopeni tukiwafunga mabwana zenu
 
Kipindi cha pili kinakaribia kuanza wachezaji wa timu zote wako uwanjani
 
Back
Top Bottom