sir mweli
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 495
- 573
Dear Arsenal
Natumai u mzima, Napenda kukujulisha kwamba kesho ntakukabidhi zawadi ya nafasi ya sita , zawadi hii nilipewa kwa mashart kuwa endapo na mimi nikimpata mtu mwaminifu nimpatatie, nimesubir sana ila hatimae nimekupata wewe. Natumaini utaitunza nafasi hii hadi mwisho wa msimu.Lakin nawe kama utampata mwaminifu mpatie,ingawa stegemei maana hakuna mwaminifu kama wewe, Sina mengi ila nikuombe tu kesho usikose maana wewe ndo mgeni rasmi.
Ni mimi rafiki yako mpendwa.
Manchester United.