hivi hawa azamfc tatizo nini hasa pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanywa lakini bado hafanyi vizuri mechi za kimataifa dah tatizo nini jamani man uwanja wa kisasa wachezaji wa kimataifa lakini bado tu aaah acheni kuzingua
Ni ukweli kabisa lakini kuna jambo la kutafakari Azam inataka kufanikiwa kimataifa angalau wacheze kwenye makundi napo bado wameshindwa. La kujiuliza wachezaji kama kipre cheche au pascal wawa waondoke Azam??? Je kuna nini Azam?? Usajili wao bado wanachukua wachezaji wa kawaida sana ina maana hawawekezi sana ktk usajili?? Au viongozi wao wana udalali udalali?? Azam bado wana changamoto na mara nyingi wakisajili mchezaji kiwango chake kina anguka. Wajitafakari na wawe serious hassa kwenye uongozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.