Bora kukaa Benchi Barca kuliko kuhama

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
884
375
Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca.

kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist.

Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi.

Kuna umuhimu gani wa kula liver unafunga magoli 31 afu huchukui kombe au uende arsenal kucheza bila kupata vikombe.

BORA KUKAA BENCHI BARCA KULIKO KUCHEZA ARSENAL
 
Affellay alikuwa na kiwango kizuri sana,alienda Barca kipindi kibaya cha Guardiola ambaye alikuwa na mahaba na wazawa wa catalunya,kuliko wachezaji kutoka nje ya catalunya naamini angeenda timu zingine angewika sana....nina hakika maneno yake anayakumbuka mpaka kesho...
 
Guardiola alimpenda sana afelllay ila dogo alikuwa anaumia sana. Kumbuka nusu fainal uefa 2009 alitoa assist kwa messi
 
Fabregas hapa hawezi kukubaliana nawe, Suarez ni mapema mno kuweza kuhitimisha kama maamuzi yake ya kuondoka L'pool yalikuwa sahihi au la, lakini kwa kipindi hiki kifupi tunaweza kusema alikuwa bora zaidi alipokuwa L'pool nani. Nani anahesabu assists banaa!!! Si mbaya kuwa nazo lakini mcheza yeyote mwenye hadhi ya Suarez anapenda kuzifumania nyavu ikiwezekana katika kila mechi na kupenda kufanya hivyo angalau mara mbili au zaidi.
 
Unatumia ubongo wa ronaldo, kutembea na kioo, maboda vyanuo alimuradi uonekane. Ndio maana anakasirika asipopewa pasi na bale, hizi ni akili za issis
 
Acha akili za kushikiwa wewe kama huna cha maana cha kuandika kaa kimya badala ya kutumia lugha za hovyo. Hapa tunazungumzia mpira na si kingine chochote.

Unatumia ubongo wa ronaldo, kutembea na kioo, maboda vyanuo alimuradi uonekane. Ndio maana anakasirika asipopewa pasi na bale, hizi ni akili za issis
 
Fabregas hapa hawezi kukubaliana nawe, Suarez ni mapema mno kuweza kuhitimisha kama maamuzi yake ya kuondoka L'pool yalikuwa sahihi au la, lakini kwa kipindi hiki kifupi tunaweza kusema alikuwa bora zaidi alipokuwa L'pool nani. Nani anahesabu assists banaa!!! Si mbaya kuwa nazo lakini mcheza yeyote mwenye hadhi ya Suarez anapenda kuzifumania nyavu ikiwezekana katika kila mechi na kupenda kufanya hivyo angalau mara mbili au zaidi.

EDO: kutoka kuwa mfungaji hodari, mpaka kuwa mkumbatiaji wafungaji hodari!
Alikuwa anamzungumzia Luis Suarez!
 
Suarez alikaa nje miezi 3 pale Barca na ni mchezaji mpya kabisa na ameenda ktk timu inayotumia style ambayo hajawahi kuicheza maishani mwake.
Suarez kajitahidi sana tena zaidi ya sana, Amescore kadhaa na ametoa Assist nzuri tuu, nani mwingine alivoenda Barca ana matokeo mazuri kama Suarez?
 
unawasikiliza hao akina EDO ambao hata taifa la Kenya au South Africa hawawajui.
Hata Utangazaji wa mpira hawapewi.
 
Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca.

kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist.

Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi.

Kuna umuhimu gani wa kula liver unafunga magoli 31 afu huchukui kombe au uende arsenal kucheza bila kupata vikombe.

BORA KUKAA BENCHI BARCA KULIKO KUCHEZA ARSENAL
Suarez kwani amepelekwa kufunga ama kutoa assist, kwa taarifa yako alivokuwa Liverpool angekuwa ni mtu wa kutoa assist bila kufunga Barca wasingemfuata.Ulishasikia mtu anapata kiatu cha dhahabu kwa kutoa assist?
 
Suarez alikaa nje miezi 3 pale Barca na ni mchezaji mpya kabisa na ameenda ktk timu inayotumia style ambayo hajawahi kuicheza maishani mwake.
Suarez kajitahidi sana tena zaidi ya sana, Amescore kadhaa na ametoa Assist nzuri tuu, nani mwingine alivoenda Barca ana matokeo mazuri kama Suarez?

style ipo hiyo AMBAYO Suarez hajawahi KUCHEZA maishani Mwake?
 
Hayo yalikuwa maneno ya Ibrahim afellay akielezea furaha yake ya kuwa barca.

kazi ya foward ni kufunga au kutoa assist.

Suarez hafungi sana lakini ametoa assist nyingi.

Kuna umuhimu gani wa kula liver unafunga magoli 31 afu huchukui kombe au uende arsenal kucheza bila kupata vikombe.

BORA KUKAA BENCHI BARCA KULIKO KUCHEZA ARSENAL

Unakuwa na Matarajio gani kwa mchezaji aliyenunuliwa £75m???
 
Suarez alikaa nje miezi 3 pale Barca na ni mchezaji mpya kabisa na ameenda ktk timu inayotumia style ambayo hajawahi kuicheza maishani mwake.
Suarez kajitahidi sana tena zaidi ya sana, Amescore kadhaa na ametoa Assist nzuri tuu, nani mwingine alivoenda Barca ana matokeo mazuri kama Suarez?
Mbona Neyma nae alikuwa mpya na mbaya zaidi aliekuwa ametokea bara tofauti ila anafunga na anatoa assist.So hiyo issue ya kusema eti Suarez ni mchezaji mpya katika timu inayotumia style tofauti sikubaliani nayo.Mbona alivokwenda Liverpool alifika na kufunga ina maana hakuwa mgeni na pia Liver ilikuwa haitumii style tofauti? Cha msingi ni kwamba zama za Suarez zinaweza zikawa ndo zinaishia ukingoni kama zilivoishia ukingoni kwa Torres alivotoka Liver anafunga na alivokwenda Chelsea akawa galasa
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Duh, sasa kiongozi wewe huwa unafatiliaga mpira wa La Liga?
Hata Neymar msimu wa kwanza hakushinda magoli mengi kihiiivyoo, ila msimu huu ndo kaongezeka zaidi pia Neymar alipofika tuu alianza kucheza, tofauri na Suarez alikaa nje miezi takribani 3.
Je, kukaa kote hakumuathiri Mchezaji?
Tutamjudge Suarez kuanzia msimu ujao.
Habari za Torres sitaki hata kuziongelea, Mastriker wa sasa ni tofauti na zamani.
 
Affellay, hivi bado yupo Barca?? Basi hatari na hajitambui. Na umri utakuwa ushaanza kumpa Bye. Ukiwa na asili ya Afrika, ni tatizo kiasi fulani.
 
Kuna article kwenye gazeti nilisoma kama mwezi hivi umepita. Article hii ilikuwa inazungumzia uchezaji wa Suarez baada ya kuhamia BARCA na kutoweza kuzifumania nyavu kama alivyokuwa L'pool, nitaitafuta nikiipata nitaiweka hapa. Mchezaji wa mstari wa mashambulizi wa timu yoyote ile duniani hajioni bora kwa kutoa assist nzuri au nyingi na wala hakumbukwi na wapenzi na washabiki kwa kutoa assist bali kwa kuzifumania nyavu, kama Suarez ataendelea kuzifumania nyavu kwa nadra ukilinganisha na alipokuwa L'pool akiamua kufunguka na kuwa mkweli wa nafsi yake basi atasema his decision to leave L'pool was a big mistake.

Suarez alikaa nje miezi 3 pale Barca na ni mchezaji mpya kabisa na ameenda ktk timu inayotumia style ambayo hajawahi kuicheza maishani mwake.
Suarez kajitahidi sana tena zaidi ya sana, Amescore kadhaa na ametoa Assist nzuri tuu, nani mwingine alivoenda Barca ana matokeo mazuri kama Suarez?
 
HIVI KUFUNGA MAGOLI 50 AFU UNAPEWA kiatu cha ufungaji bora afu timu haipati kombe,huo ni ujinga. Suarez ana miss nafasi kutokana na kuwa na pressure yakutaka kuafanya kama alivyokuwa liverpool. ukiwa na striker anakuwa ana kazi mbili KUFUNGA AU KUTOA ASSIST. Kwenye la liga ndani ya Mechi 14 kafunga maGoal 4 Na assist 8. ikiwa na maana kajihusisha katika magoli ma nne. MSimu wa kwanza liver alifunga magoli ma 4 tu katika mechi 13.

Luis Enrique: "Suarez? He adds a lot, his number of assists is spectacular... Scoring goals is not the only thing that matters for forwards"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom