9inone
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 774
- 319
Wakuu na washabiki wa mchezo wa kabumbu tayari wawakilishi wetu wote ambao ni Azam na Yanga wametolewa nje ya kinyang'anyiro haijalishi kwa uzembe au la! kufugwa ni kufungwa maana ufanyapo kosa ndo upenyo wa mpinzani wako anapoponyokea ili kujiweka sawa katika nafasi husiaka. Tufanye nini wakuu ili tuweze kusonga mbele kwa kipindi kijacho? Nawakilisha waakuu.