PROSPER 05
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 226
- 217
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Muholanzi Hans van Pluijm. Ameanguka Saini ya Miaka Miwili Kuifundisha Timu iliyopanda Daraja (VPL) Mwaka huu Singida United.
Nafikiri huu utakuwa ni Mpango wa Muheshimiwa Kutoka Singida kwani yeye ndiye aliyemrudisha Pliuijm Yanga baada ya Kocha huyo kujiuzuru Mara ya Kwanza na yeye pia ni mmoja kati ya watu wazito wanaoisapoti Singida UNTD
Nategemea Upinzani Mkubwa Kutoka Singida UNTD VPL mwakani kwa Vigogo wa Soka. Na sitegemei iwe kama Toto Africans....