Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya kamati ya saa 72 kuipa simba pointi tatu baada ya game na kagera kuonekana kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi tatu. Hatimaye Yanga wameibuka na kudai mbona tufaa yao ni ya siku...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Obrey Chirwa amegoma kukabidhi pasipoti yake, hivyo hatokwenda ALGERIA- SG Mkwasa.... Hii ni dalili mbaya klabuni kwetu, Yanga inashindwa kujiendesha kitaasisi, na haya tuliyapigia sana kelele...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
ni mpenzi wa soka ...kuna maswali huwa najiuliza na majibu sipati..Leo kuna baadhi nimeyakumbuka ningependa wajuzi wa soka mnisaidie.. ...kwa nn timu ya juve wengi hupenda kuiita kibibi kizee cha...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
KADI TATU ZA NJANO ALIZOPATA FAKHI MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR 1. Mchezo namba 122 uliopigwa Sokoine tarehe 17 December dhidi ya Mbeya City. 2. Mchezo namba 165 uwanja wa Kaitaba mchezo dhidi ya...
6 Reactions
93 Replies
21K Views
Harry Kane and Romelu Lukaku have been nominated for both the Professional Footballers' Association player of the year and young player awards. They join Zlatan Ibrahimovic, Alexis Sanchez, Eden...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Hello Gentlemen and Ladies. Naomba mtu ambaye anayo links ya hii Mobdro anitumie please .Nimejaribu ku download imekataa kwenye simu yangu .nilikuwa nataka kuangalia mpira wa chelesea vs...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa points 58 huku watani zao wana points 56 wakiwa na kiporo cha mechi moja, simba Leo wamedhihirisha wazi kwamba nyota yao itangara Mwaka Huu has a pale...
2 Reactions
15 Replies
9K Views
Poleni Mashabiki wa Borrusia Dortmund naona Monaco huko wanachapa tu dk 80 Borrusia 1 Monaco 3 hawa Monaco hawa sio Wazuri aisee ni Wazee wa Kimya kimya naona Monaco ya Jan Koller Inarudi Sasa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Obrey Chirwa amegoma kukabidhi pasipoti yake, hivyo hatokwenda ALGERIA- SG Mkwasa.... Hii ni dalili mbaya klabuni kwetu, Yanga inashindwa kujiendesha kitaasisi, na haya tuliyapigia sana kelele...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
BREAKING NEWS: Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar... Chanzo: Efm radio
15 Reactions
114 Replies
21K Views
Silvio Berlusconi sells AC Milan bought by Chinese investors 14 minutes ago FromEuropean Football Serie A club AC Milan have been sold by former Italy prime minister Silvio Berlusconi to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tukitaka soka iwe na nguvu na tusonge mbele lazima japo ni ngumu sana ni muhimu sana kama simba na yanga zinaweza kufa au kusambaratika Maana ni chanzo cha fitina za mpira!
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Maajabu makubwa yametokea Leo katika ofisi za TFF wakati katibu MKUU wa Klabu ya Yanga bwa Boniface Mkwasa akiambatana Na wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga.Kilichowapeleka Bodi ya Ligi eti...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Kanuni ilishawekwa tangu ligi inaanza kuwa mchezaji mwenye kadi 3 atasimama kucheza mchezo unaofuata. Na pia mchezaji mwenye kadi nyekundu ya moja kwa moja anakosa michezo 3 inayofuatia, na yule...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Haki isimamiwe nani mwenye haki
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Yangu ilianzishwa miaka mingi zaidiya klabu yoyote hapa Tanzania.Sheria za mpira wanazijua sana.Upatikanaji wa pointi ni pamoja Na kukata rufaa dhidi ya timu pinzani ilikiuka sheria za mchezo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maada hii nawaweka hawa mapimbi ambao waliwadhurumu wenzao haki ya kuendelea mbele na sasa Leo wamekutana na watoto wa mjini. Kwa kifupi psg sio timu kubwa ndiomaana nimeandika kwa herufi ndogo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaliyotokea leo kirumba nimeamini Simba sc ni waganga kwa kweli,itakuwa mechi zao wanacheza kwenye nyungo kabla ya uwanjani
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Hii ilikuwa jana wakati wa mapumziko kiongozi wa Simba makamu wa rais Kaburu alienda kuwasalimia viongozi wa Mbao kubadilishana mawazo
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom