Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

FULL TIME| Kagera 2 - 1 Simba 27' Mbaraka Yusuph (Kagera) 45' Edward Christopher (Kagera) 65' Muzamiru Yassin (Simba) Dk 90, Dakika 5 za nyongeza Dk 83, mkwaju wa faulo anapiga Banda...
5 Reactions
279 Replies
30K Views
Three explosions have hit a bus carrying the Borussia Dortmund football team to their home Champions League quarter-final match against Monaco. Spain international Marc Bartra was taken to...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kweli imefika Mahali hizi timu zetu ziwe na vyanzo vyao binafsi vya kudumu vya mapato,haiwezekani timu zinazjiita wa Kimataifa halafu mchezaji anagoma eti Timu imeshindwa kumlipa mshahara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Under Taker ni mmoja kati ya wanamieleka bora kuwahi kutokea katika WWE akiwa ameshawahi kubeba karibia mikanda yote ya mchezo huo, huku pambano lake la kwanza ikiwa mwaka 1984. nadhani shabiki...
6 Reactions
51 Replies
8K Views
Mchezaji wa timu ya Kagera Sugar FC, Mbaraka Yusuph Abeid amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Machi kwa msimu wa 2016/2017. Mbaraka aliwashinda wachezaji Abubakar...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani swali langu hilo hapo mwenye kujua anipe ushuhuda Hivi wasichana nao huwa wana Betti?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau, Mimi ni shabiki wa soka. Huwa naangalia mechi zote za mataifa makubwa Ulaya na soka la Bongo nikiwa naishabikia Kagera Sugar. Sasa katika soka la Ulaya kuna mchezaji matata...
7 Reactions
72 Replies
20K Views
Naona mmejawa na furaha! Endeleeni tu kufurahia..... Ila napenda kuwakumbusha kuwa kwenye Msimamo wa VPL mko nyuma ya YANGA SC kwa zaidi ya alama 1..... The fact that 1. Uko nyuma kwa zaidi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu kwa anae jua Chanel itakayo oshesha mechi Kati ya Barcelona na juventus kwenye application ya MOBDRO anisaidie tafadhari Au application yoyote itakayo stream live Hiyo mechi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukurasa wa Twitter wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) waweka picha ya Mtanzania, Mbwana Ally Samatta na kumtaja kuwa ni mchezaji wa kuangaliwa. - Mshambuliaji huyo hatari amefunga magoli...
13 Reactions
76 Replies
12K Views
Nakusogezea live updates kutoka Mwanza CCM Kirumba katika ya Mbao FC vs Simba SC ====== MWANZA: Mchezo umekwisha na Simba wameibuka na Ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Mbao FC iliyokuwa inaongoza kwa...
4 Reactions
244 Replies
42K Views
Akili, mwili na mtizamo hufanya kazi kwa pamoja na ushirikiano ili kufanikisha jambo flani... akili na mtizamo vikiwa katika hali mbaya basi hata mwili utashindwa kutuonyesha kilicho bora, Ndivyo...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Abdi Banda wa Simba amesimamishwa - WILLYD HABARI Beki wa kati wa wekundu Msimbazi Simba leo Jumapili ya April 9 2017 taarifa zilizotolewa kutoka katika kamati ya saa 72 ni kuwa amesimamishwa...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wadau labda kwa kuwa mimi si mpenzi wa mpira wa miguu kivile, nashangaa kuwakuta vijana wenzangu wakibishana kwa kauli kama hii, "nakufunga leo huniambii kitu mimi" huku timu anayoitetea hana hisa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simba wamemkatia rufaa mchezaji muhamed fakhi wakidai alicheza akiwa na kadi tatu za njano baada ya kupigwa miwa miwili kule kagera hivyo wanataka wapewe point 3. Mechi imechezwa jumapili lkn...
8 Reactions
126 Replies
19K Views
Ngurumo zake ni zaidi ya Ngurumo zote uzijuazo wewe duniani swala kajipendekeza tumetafunaaaa
1 Reactions
6 Replies
892 Views
Salam wana JF. Kuna taarifa inasema Mtangazaji nguli wa michezo hapa nchini na aliyepata kuwa msemaji wa Club ya Simba Clifford Mario Ndimbo amefukuzwa Radio Times Fm ambapo ndio alikuwa...
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Pamoja na kuwa na rangi ya bendera yetu lakini sehemu kumbwa ya jezi zao zingeonyesha utalii wa Serengeti ili kumaanisha jina la timu.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kamati tendaji ya Tff imetangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanyika jumapili tarehe 12/08/2017 ambapo uchaguzi huo utakuwa kuwachagua rais wa shiriko la mpira wa miguu Tanzania Tff na makamu rais wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ANGALIZO KWA RAIS WA TFF JUU YA HAYA YANAYOENDELEA KUHUSU SIMBA. '''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' Imeandikwa na Said Ngulipa Kwanza kabisa nakupa pole na majukum ya kuusogeza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom