ni mpenzi wa soka ...kuna maswali huwa najiuliza na majibu sipati..Leo kuna baadhi nimeyakumbuka ningependa wajuzi wa soka mnisaidie..
...kwa nn timu ya juve wengi hupenda kuiita kibibi kizee cha Turin au mmiliki wake ni mbibi?
na kunya timu nyingine inaitwa nyambizi ya Villarreal. .....kwann iwe nyambizi tena wkt club ya soka...walianzia kucheza mpira chini ya maji nn