Ili soka la Tanzania liendelee, Simba na Yanga zifutwe

nkulikwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
721
813
Tukitaka soka iwe na nguvu na tusonge mbele lazima japo ni ngumu sana ni muhimu sana kama simba na yanga zinaweza kufa au kusambaratika Maana ni chanzo cha fitina za mpira!
 
Soko la Tanzania limetekwa na timu hizi mbili miaka nenda rudi hata uwanja hazina!!
 
Tukitaka soka iwe na nguvu na tusonge mbele lazima japo ni ngumu sana ni muhimu sana kama simba na yanga zinaweza kufa au kusambaratika Maana ni chanzo cha fitina za mpira!

Huwezi kusonga mbele kwa kuua wadau muhimu kama Simba na Yanga. Hii hoja huwa sielewi maana yake huwa ni nini.
Sehemu nyingi kuliko na maendeleo ya soka bado kuna "Simba na Yanga". Misri, Hispania, Ujerumani, Ureno, Afrika Kusini, Brazil, Argentina, n.k mbona kote kuna "Simba na Yanga"?

"Huwezi kuondoa umaskini kwa kumchukia tajiri" - Msigwa
 
Tukitaka soka iwe na nguvu na tusonge mbele lazima japo ni ngumu sana ni muhimu sana kama simba na yanga zinaweza kufa au kusambaratika Maana ni chanzo cha fitina za mpira!
alafu zkifutwa c burudan tutapata wap tena,wengine izo tym ndo burudani yetu
 
VIROBA SI VILIPIGWA MARUFUKU? SASA HUYU JAMAA YE ANAPATA WAPI ANAVYOKUNYWA?
 
Hahahaha hiyo ni sawa na kusema ligi ya Hispania Barcelona na real Madrid zifutwe hiyo itakuwa ndoto sanaa aiseeee
 
Kuzifuta ni ngumu maana hizi timu ni miradi ya chama tawala na serikali.

Jiulize kwa nini soka halifanywi biashara ili matajiri wawekeze

Kwa nini timu zote za ligi ukiondoa mtibwa kwa mbaaaaali na Azam kwa heshima ya Bakhresa hakuna timu yenye uwanja na zimekaa kibonanzabonanza kama wenzao wa simba na Yanga.

Kwa nini wadau wanaotaka kuleta mapinduzi ya soka wanapingwa na kupotezwa? Mfano siku za nyuma kifukwe alitaka Yanga iwe kampuni imilikiwe na wanahisa lakini duuuu sijui akikumbuka mizengwe ile kama ana hamu, au Mo dewji kumiliki klabu ya simba kwa 51% unakumbuka Mwenyekiti wa BMT alisemaje?

Soka la bongo ni miradi ya chama na serikali na imekaa kibonanzabonanza ndo maana pointi zinatolewa kwa kukataa rufaa na siyo ushindi wa uwanjani.

Ni mawazo yangu tu
 
Tukitaka soka iwe na nguvu na tusonge mbele lazima japo ni ngumu sana ni muhimu sana kama simba na yanga zinaweza kufa au kusambaratika Maana ni chanzo cha fitina za mpira!

Ufutwe wewe na yanga yako nyang'au kabisa wewe
.tena usirudie hiyo kauli kwa kuihusisha simba....kwanza unaihusishaje simba na ujinga ujinga??
 
Wanaotusi wale wale wanaopenda mpira usisonge mbele ili waendelee tu kushangilia yanga na simba! Wengine wanywa viroba wamevikumbuka kama vilifutwa viroba hata kwa mpira wa Tanzania simba na yanga ndiyo viroba vinavyozuia mpira kusonga mbele! Wapi majaliwa
 
Wazo hilo mimi ninalo muda mrefu sana kama nitapata nafasi, yaani ni kama vile walivyokosea kukiacha Chama Tawala wakati wa kuanzishwa kwa vyama vingi
 
Huwezi kusonga mbele kwa kuua wadau muhimu kama Simba na Yanga. Hii hoja huwa sielewi maana yake huwa ni nini.
Sehemu nyingi kuliko na maendeleo ya soka bado kuna "Simba na Yanga". Misri, Hispania, Ujerumani, Ureno, Afrika Kusini, Brazil, Argentina, n.k mbona kote kuna "Simba na Yanga"?

"Huwezi kuondoa umaskini kwa kumchukia tajiri" - Msigwa
Huyu atakuwa CCM au mjomba wake na Magu kutengeneza mashetani!
 
Tukitaka soka iwe na nguvu na tusonge mbele lazima japo ni ngumu sana ni muhimu sana kama simba na yanga zinaweza kufa au kusambaratika Maana ni chanzo cha fitina za mpira!
Utakuwa CCM ambao mnataka watu waishi kama mashetani..."Huwezi kuondoa umaskini kwa kumchukia tajiri" - Msigwa
 
Tatizo la yanga wanakuwa na shobo za mgomba kupatwa mimba bila ya kugongwa! Kagera sugar wametulia tuli! Lakini kazi kukatia mauno maisha ya watu......kwani nyie kesi ya simba na kagera nyie inawahusu nini? Yaani kugongwa agongwe mwingine mauno akate mwingine! Jiangalieni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom