Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Yangu ilianzishwa miaka mingi zaidiya klabu yoyote hapa Tanzania.Sheria za mpira wanazijua sana.Upatikanaji wa pointi ni pamoja Na kukata rufaa dhidi ya timu pinzani ilikiuka sheria za mchezo ukishinda unapewa pointi .Kagera sugar ilimchezesha mchezaji wake ambaye alikuwa Na kadi 3 za njano kinyume Na Sheria za TFF Na FIFA. Je Yanga mlitakaje? Mlitaka mpewe nyie hizo Pointi?