Supervision
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 265
- 203
Baada ya kamati ya saa 72 kuipa simba pointi tatu baada ya game na kagera kuonekana kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi tatu.
Hatimaye Yanga wameibuka na kudai mbona tufaa yao ni ya siku nyingi haikutolewa uamuzi?
Uanga wameenda mbali zaidi na kusema wanataka viongozi waliofanya maamuzi hayo kuchukuliwa hatua kali zq kisheria kwani hawakuwa na rekodi ya mechi hizo zinazodaiwa kuwa waamuzi walitoa kadi za njano mpaka pale waamizi walipoitwa kueleza mwenendo wa mechi hizo.
Na endapo shabiki wa yanga atatokea kukata rufaa ligi itasimama.
HEBU TUONE HII MIUJIZA YA SOKA LETU