Ubingwa, ligi kuu Tanzania bara 2017; Simba au Yanga ?

Mlakon

Member
Mar 5, 2017
88
117
Mpaka sasa Simba anaongoza ligi kwa points 58 huku watani zao wana points 56 wakiwa na kiporo cha mechi moja, simba Leo wamedhihirisha wazi kwamba nyota yao itangara Mwaka Huu has a pale walipopata goli LA ushindi dakika za nyongeza, hivyo naibetia simba ubigwa walioukosa kwa misimu kadhaa, UBINGWA KWA SIMBA SC
 
Bingwa ni Yanga kwa mara ya nne mfululizo,tukutane mwisho wa ligi.

Yanga wanajua namna ya kupanga karata zao,na hapa ndipo tunapowazidi kete watani zetu wanaotangulia kwa mbwembwe...
Kucheza na marefa na kununua mechi kweli hapa kwenye hii karata hatuwawezi.
 
Simba yetu mwaka huu hatari!!yeboyebo tunakula,mbao tunakula!!ubingwa wetu mwaka huu.
 
Bado kidogo tu simba tutaitwa WAKIMATAIFA na hao vyura sjui wataitwaje!!
 
Kwa kuftiniwa hivyohivyo Turnkey simba amekosa ubingwa 4yrs mfululizo,na ndiyo maana bingwa asiye bingwa huonekana mechi za kimataifa kuwa alikuwa bingwa feki.
 
Back
Top Bottom