Ac Milan yauzwa kwa Wachina!

MPUNGA

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
838
559
Silvio Berlusconi sells AC Milan bought by Chinese investors

_82601512_breakingnews.jpg

Serie A club AC Milan have been sold by former Italy prime minister Silvio Berlusconi to Chinese investors.

The seven-time European champions and Italy's most successful club had been owned by Berlusconi since 1986.

More to follow
 
Safi mleta mada kwa habari nzuri. Afisa habari wa Ac Milan barani Africa vilevile akiwa kama msemaji Mkuu wa Prophet RONALDINHO GAUCHO aitwae GANG CHOMBA nipo nae hapa VINOVO anajiandaa kuwaletea upembuzi yakinifu na faida ya Ac Milan kuuzwa kwa hao wakezaji kutoka China. Buona notte
 
Mkuu mbona sikuelewi?
 
Silvio b kachemka kabisa kuiendesha timu akaamua kumpa mtoto wake wa kike ikashindikana kurudi kwenye makali ya zamani, hakukuwa na namna tena zaidi ya kuiuza hasa hata yeye mwenyewe amedorola kiuchumi sio kama zamani
 
Back
Top Bottom