bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Poleni Mashabiki wa Borrusia Dortmund naona Monaco huko wanachapa tu dk 80 Borrusia 1 Monaco 3 hawa Monaco hawa sio Wazuri aisee ni Wazee wa Kimya kimya naona Monaco ya Jan Koller Inarudi Sasa Kijana Mbappe ni hazina kwa Ufaransa ana vitu vya Henry.
Kwanini Nasema Borrusia Dortmund ni Kama Mtibwa kwa Tanzania Ukiangalia Kikosi cha Leo kuna Kuna SAHIN NA KAGAWA hawa walishacheza pale na kuondoko bado GOTZE naye aliondoka ila hawa Jamaa wamekua na Utaratibu wa kuwarudisha wachezaji wake pindi wanapoendeka timu nyingine na kushindwa kuwika hongera zao kwa hilo.
Hawana tofauti na mtibwa Sugar Mtu kama JAVU,SHARIF,SHINDIKA Wote walitoka mtibwa na baadaye kurudi hongereni pia mtibwa sugar kwa hilo hii inaonyesha mpira ni Furaha na sio Chuki wala Visasi vya ajabu ajabu.
Nasubiria hapa Munchen Vs Madrid nani atalala Mapema leo sijui.