Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Maajabu makubwa yametokea Leo katika ofisi za TFF wakati katibu MKUU wa Klabu ya Yanga bwa Boniface Mkwasa akiambatana Na wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga.Kilichowapeleka Bodi ya Ligi eti kuishinikiza Bodi isitende haki Kwa klabu ya Simba Juu ya Rufaa yao dhidi ya mchezaji wa Kagera sugar anayedaiwa kuonyeshwa kadi 3 Na akachezeshwa dhidi ya Simba kinyume Na Sheria za Soka.Haya yatakuwa ni maajabu makubwa Kwa soka la Tanzania.