Channel za mpira kwenye simu. Mobdro

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Hello Gentlemen and Ladies. Naomba mtu ambaye anayo links ya hii Mobdro anitumie please .Nimejaribu ku download imekataa kwenye simu yangu .nilikuwa nataka kuangalia mpira wa chelesea vs Manchester City .Please samahani kwa usumbufu please.
 
Habari wadau,mi nimefanikiwa Ku download ila zmekuja channel nyingi na category tofauti, samahani ni ipi kati izo naweza EPL live match.
 
Back
Top Bottom