Leo nimeamini Simba sc ni waganga

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Yaliyotokea leo kirumba nimeamini Simba sc ni waganga kwa kweli,itakuwa mechi zao wanacheza kwenye nyungo kabla ya uwanjani
 
Umenichekesha sana mkuu...kumbuka uchawi ni imani ya mtu binafsi na huwezi loga au kufanya uchawi kwenye kundi la watu tofauti wenye imani tofauti mfano kwenye mpira wa miguu...all in all Simba wamenifurahishaaaa sana, ni kama nimepoza machungu ya Kagera! Mwendo ni huo huo!
 
Kwa aliekua ccm kirumba Jana hawezi sema Simba wachawi , kuna vitu mavugo na kichuya walienda kuvitoa kwenye goli la mbao kipindi cha pili nd magoli yakaanza kuingia na mtu anaesadikiwa kua mganga wa mbao walimkuta kwenye gari la timu ya mbao, akatolewa uwanjan na polisi kwa usalama wake,


Lapa bwana
 
simba hata wakifungwa hawakati tamaa wala kukimbilia kulinda magoli zaidi, mashambulizi yanaendelea kama kawa.
 
Back
Top Bottom