Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bora tuzingatie masuala ya sanaa maana huku katika mpira wa miguu watu wamefungwa bao 4 wakaanza kupoteana uwanjani,namuuliza mh.waziri hana majibu -spika Ndugai
4 Reactions
70 Replies
9K Views
WATCH LIVE MATCH | Real Madrid vs Bayern Munich (English Premier League) 18.4.2017 | WATCH FULL MATCH FREE HERE WATCH LIVE MATCH | Real Madrid vs Bayern Munich (English Premier League)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mheshimiwa ; Waziri wa michezo Mwakyembe ; TFF wameingia mkataba na AZAM Media , ambao Yanga waliugomea mpaka leo. Mkataba huo ni kuonyesha mechi za Ligi kuu na ku sponsor kwa kutoa Pesa; Cha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Juventus goal keeper Gianluig Buffon , has named Leicester city as the only team he want to avoid in Champios League quarter finals after the premier league champions knocked out sevilla . Source...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Yanga imepata pigo lingine nchini Algeria baada ya wachezaji wake kuchelewa ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene, jijini Algers. Wachezaji hao walikuwa wasafiri na...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
0 Reactions
4 Replies
642 Views
Liverpool wanamkumbuka vizuri mzee Mourinho a.k.a the self appointed Special One. Now Conte watamjua kwani kipigo hichi cha Leo kinaweza kikawa mwanzo wa kuanguka kwa Chelsea katika mbio za...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Jana nimeshuhudia Man u wakinichezea mpira flan hivi hadi nkaona raha.. Paka sikutamani muda uishe. Sjui alichokuwa anafeli morinyo ni nini kama alikuwa anajua Herera anaeza mweka kifuan hazard...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
April 15 2017 Yanga wanacheza mchezo wa marudiano wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho dhidi ya MC Alger nchini Algeria. Dakika ya 15 sasa hivi Algiers 1-0 Yanga April 15...
3 Reactions
197 Replies
26K Views
Chelsea Ni Demu Mmoja Wa Kishua Sana Na Anaringa Sana. Siku Moja Jamaa Anaitwa Liverpool Alienda Nyumbani Kwa Kina Chelsea Akamkuta Mtoto Amekaa Kihasarahasara Akamuomba Mambo Jamaa Akapewa Penzi...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya sasa... Wale wapenzi wa ligi bora duniani, Ligi yenye miamba mikubwa ya soka duniani Fc Barcelona, Real madrid na Sevila.. Ligi yenye wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea duniani CR7 na La...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba Kweli kwa mbeleko hizi mpira wetu utaendelea? Acheni bingwa apatikane kwa haki,na sio kwa mbeleko hizi. Ina...
16 Reactions
143 Replies
18K Views
This unification battle for the world title under the titles WBA, IBF, WBO junior welterweight (up to 63.5 kg), was held in Glasgow (Scotland) from 15 to 16 April 2017. In the ring there were: WBA...
0 Reactions
4 Replies
840 Views
Kuelekea Mechi ya Algiers na Yanga ,wiki iliyopita namba zilisema yanga angeshinda na kutoruhusu bao na kweli alishinda hebu tuangalie Leo namba zinasemaje. siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari...
5 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuanzia saa nane unusu nitamimina yanayoendelea moja kwa moja kutoka WHITE LANE kati ya TOTTENHAM v. BOURNEMOUTH
1 Reactions
179 Replies
6K Views
Baada ya mechi ya Mc Alger na Yanga kumalizika ,nimejiuliza maswali mengi sana.Kweli kwa aina ya wachezaji wa Kitanzania hata karne tatu zijazo hatuwezi kuchukua kombe lolote la Afrika.Cha kufanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simba imeshindwa kuifunga Toto African uwanja wa CCM Kirumba kwa miaka 7 sasa, wamelazimishwa sare tasa (0-0) KIKOSI CHA SIMBA VS TOTO AFRICAN, LEO. 1.Daniel Agyei 2.J Bukungu 3.Mohammed...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Kipa wa Mbao FC, Erick Ngwengwe amesimamishwa kuitumikia timu hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuhujumu timu katika mechi yao dhidi ya Simba. Mechi hiyo ilichezwa juzi Jumatatu kwenye...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Badala ya kulilia point ambazo haziwahusu , zile point halali walizopewa wenzenu wa SIMBA SPORTS CLUB (Mnyama mkali ), chezeni mpira na akili yenu iwe kwenye game yenu tu . Hilo si eneo zuri kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nachukua nafasi hii kuwashauri viongozi wa Yanga wajitahidi kusoma Sheria za Soka Na pia itoe elimu Kwa Wenyeviti wa matawi ya Yanga Juu ya Sheria za Kuna MTU anaitwa Mkemi Kwa jaziba anakimbilia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom