Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Nachukua nafasi hii kuwashauri viongozi wa Yanga wajitahidi kusoma Sheria za Soka Na pia itoe elimu Kwa Wenyeviti wa matawi ya Yanga Juu ya Sheria za Kuna MTU anaitwa Mkemi Kwa jaziba anakimbilia PCCB kulipeleka Soka,Kuwa Mwenyekiti wa tawi eti jumanne anaenda Mahakamani kusimamisha Ligi.Tunawauliza Viongozi wa Yanga hakuna Sheria ya timu kupata Pointi baada ya kukata Rufaa.? Je Sheria inasemaje mchezaji akipewa kadi 3 za njano? Ukweli Viongozi wa Yanga timu Kongwe mnatia Aibu kutokujua Sheria hata Viongozi wa Ndanda wanawashinda.