juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,477
Chelsea Ni Demu Mmoja Wa Kishua Sana Na Anaringa Sana. Siku Moja Jamaa Anaitwa Liverpool Alienda Nyumbani Kwa Kina Chelsea Akamkuta Mtoto Amekaa Kihasarahasara Akamuomba Mambo Jamaa Akapewa Penzi Na Akampiga Mtoto Chelsea Bao Mbili.
Mtaa Huo Huo Wa Akina Chelsea Kuna Mchizi Anaitwa Arsenal Akaja Kupiga Stori Na Liverpool Akamuambia Aisee Kuna Mtoto Wa Kishua Mtaani Kwenu London Ana "K" Mnato Kweli Yani Nimempigia Kwao Acha Tu.
Arsenal Roho Ikamuuma Sana Demu Wa Mtaani Kwao Kugongwa Na Mtu Wa Mbali Tena KwaKina Demu. Akajaribu Kumuita Chelsea Kwake Bas Demu Akaja,Mchizi Arsenal Hakuvunga Akampiga Demu Bao Tatu Maana Mzigo Mnato.
Kumbe Wakati Arsenal Anagonga Jirani Yake Mr. Tottenham Anasikia Demu Chelsea Anavyolalamika Kwa Utamu Na Miguno Ya Ajabu Iliyomtia Bwana Spurs Mshawasha. Akavizia Wakat Dem Anatoka Akamuona Mtoto Kama Wa Kiitaliano Kavaa Nguo Za Bluu.
Spurs Akamuomba Chelsea Aje Kwake Amsalimie Baada Ya Muda Akaja,Spurs Hakuamini Bahati Yake Akamgonga Demu Bao Mbili,Akijiapia Lazma Amrudie Demu Huyo Maana Mtamu. Bwana Crystal Palace Yeye Ni Fundi Bomba Aliyeitwa Kurekebisha Sewage Hapo Kwa Kina Chelsea Na Wanakaa Mtaa Mmoja Wa London,Alipofika Anaona Chelsea Anamtegatega Mara Kakaa Uchi Mara kainama Bas Akamuomba Chelsea Mchezo Chelsea Akagawa Gemu Hatari Jamaa Akatia Bao Zake Mbili Akasepa.
Leo Dem Chelsea Kasafiri Baada Ya Kuwasiliana Na Lijamaa Limoja Lishetani Huko Mtandaoni,Lijamaa (Man Utd) Lilikua Zake Huko Ubelgiji Likijishughulisha Ila Liliporudi Kwake Likamuita Demu,Leo Demu Chelsea Kaja Anataka Kugongwa Halijaamini Bahati Yaje Limemtia Bao Mbili Demu Kaamua Kulala Huko Huko.
Hapa hivi Na Bwana Spurs Amemuomba Demu Waende Hotel (FA Cup) Kwa Ajili Ya Mtoko. Atatoka Salama Kweli Huyu Demu??