Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,834
Baada ya mechi ya Mc Alger na Yanga kumalizika ,nimejiuliza maswali mengi sana.Kweli kwa aina ya wachezaji wa Kitanzania hata karne tatu zijazo hatuwezi kuchukua kombe lolote la Afrika.Cha kufanya TFF kuruhusu timu kusajili idadi yoyote ya wachezaji wa kigeni..hii itafanya wachezaji wetu kugombania namba na wageni hivyo kufanya viwango vyao viwe juu..mfano TP mazembe wakati wa Samatta ni wachezaji watatu tu wa kicongo walikuwa wanaanza .