Yanga kuweni makini , mlikoenda Taifa Stars ilitandikwa 7 - 0

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,734
239,354
Badala ya kulilia point ambazo haziwahusu , zile point halali walizopewa wenzenu wa SIMBA SPORTS CLUB (Mnyama mkali ), chezeni mpira na akili yenu iwe kwenye game yenu tu .

Hilo si eneo zuri kwa mstakabali wa wanasoka wanaotokea Tanzania , vinginevyo mtapigwa kipigo cha Mbwa Mwizi ! Rudisheni kumbukumbu nyuma .

.....................................................

Updates - Yanga imekufa kiume baada ya kufungwa goli 4 tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom