If you have party, Please do not invite Mourinho

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,208
1,668
Liverpool wanamkumbuka vizuri mzee Mourinho a.k.a the self appointed Special One. Now Conte watamjua kwani kipigo hichi cha Leo kinaweza kikawa mwanzo wa kuanguka kwa Chelsea katika mbio za Ubingwa.

Ikumbukwe kuwa Chelsea na Conte walimdhihaki sana Mourinho walipomfunga Stamford Bridge, ila sasa acha waisome namba
 
Chelsea ana run - in rahisi sana katika game 6 zilizobaki ukilinganisha na Spurs.

Bado wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa.

Ila nimefurahi tumewatandika jana..!
 
Ha haaa. umesahau alivyowakosesha ubingwa 2014. Gerrard alivyoteleza na Demba Ba akaweka kitu wavuni. ilikua mnaongoza ligi lakini baada ya kipigo hicho mkapotea mazima
Sasa hapo wakukumbukwa ni nani kati ya Gerrard na Mourinho, hebu weka uhusiano wa Morinho na kuteleza kwa Gerrard. Kwan mourinho ndo aliteleza nimkumbuke? Bora ungesema Demba Ba.
 
Sasa hapo wakukumbukwa ni nani kati ya Gerrard na Mourinho, hebu weka uhusiano wa Morinho na kuteleza kwa Gerrard. Kwan mourinho ndo aliteleza nimkumbuke? Bora ungesema Demba Ba.
Uhusiano ni kuwa Mourinho alitibua harakati za ubingwa za Liverpool. To make things worse Gerrard aliwazawadia bao Chelsea la ubwerere
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom