Asa kama morinyo anaijua chelsea alichokuwa anafel ni nini ?

sir mweli

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
495
573
Jana nimeshuhudia Man u wakinichezea mpira flan hivi hadi nkaona raha.. Paka sikutamani muda uishe.
Sjui alichokuwa anafeli morinyo ni nini kama alikuwa anajua Herera anaeza mweka kifuan hazard paka ajiona hajui Mpira...
Costa kafichwa na baily paka anaomba poo.. Kante kajiona kama ndo anaanza mpira vile.
Ila Konte nae hafkirii... We luiz anaeza kukimbizana na Rashford, au Cahil amkabe Lingard... Wale washazeeka
Yaan kwa tathmin yangu.. Kama morinyo hatabet.. Bas hakuna timu ya kuifunga Man u EPL nzima.. Labda spurs tena wakipania sana..
 
Mpira wa miguu una mambo Mengi : pamoja na mbinu,ujanja n.a. uwezo binafsi wa wachezaji,bahati pia ina nafasi. Ndo maana unakuta kibonde anamfunga bingwa.
 
Jana nimeshuhudia Man u wakinichezea mpira flan hivi hadi nkaona raha.. Paka sikutamani muda uishe.
Sjui alichokuwa anafeli morinyo ni nini kama alikuwa anajua Herera anaeza mweka kifuan hazard paka ajiona hajui Mpira...
Costa kafichwa na baily paka anaomba poo.. Kante kajiona kama ndo anaanza mpira vile.
Ila Konte nae hafkirii... We luiz anaeza kukimbizana na Rashford, au Cahil amkabe Lingard... Wale washazeeka
Yaan kwa tathmin yangu.. Kama morinyo hatabet.. Bas hakuna timu ya kuifunga Man u EPL nzima.. Labda spurs tena wakipania sana..
Kipofu kaona mwezi mpaka imekuwa kero kwa wengine. Kama ushindi wa siku moja tu mnakuwa hivo itakuwaje kama mtaupata ubingwa wa EPL?
 
Mourinho yupo vizuri. CR7 aliwahi kusema kwamba katika coaches wooote aliowahi kufanya nao kazi, ni Mourinho pekee ambaye yupo deep zaidi na anam-analyse opponent critically huku akichambua team pinzani mwanzo mwisho. By the time mnaingia uwanjani mnaexpect 98% kile mnachokijua.

Tena mkikutana na team rigid kwenye formation na tactics, mechi inakuwa rahisi zaidi kwenu. That is what happened Yesterday. Hata mimi layman tu huku mtaani nilikuwa najua line-up ya Chelsea itakuwaje na strategy yao nzima. If I can do that, what the Special One could do more? Conte sasa ajifunze kuwa flexible kama ile Ndoo anaitaka kweli.
 
Though Im man u fan ,,, ila heshima kwa Luiz inahitajika, licha ya uzee ila kazi alipiga..
 
Back
Top Bottom