R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Mheshimiwa ; Waziri wa michezo Mwakyembe ; TFF wameingia mkataba na AZAM Media , ambao Yanga waliugomea mpaka leo. Mkataba huo ni kuonyesha mechi za Ligi kuu na ku sponsor kwa kutoa Pesa; Cha kusikitisha mpaka leo ; Azam Media wamegoma kuonyesha CD waliyorekodi kutokana na mkataba wa TFF NA AZAM.
Waziri mwenye dhamana wana Kagera ambao wametumia ghrama kubwa kuweka timu Kambini zaidii ya milioni 23. kwa mchezo dhidi ya simba ikizingatiwa kagera anasaka nafasi ya 3; Ili apate zawadi ya mfadhili.
Tunaomba ashinikize AZAM MEDIA waonyeshe mechi hiyo ; kama RECORDED kuondoa utata. Na iwe wazi nchi nzima tuione
Inatia shaka Mmiliki wa Azam media ni shabiki mkubwa wa simba; Tunazidi kupata utata na ukakaksi.
Bring back our point,
wadau wa Kagera sugar
BUKOBA