Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kuanzia saa nane unusu nitamimina yanayoendelea moja kwa moja kutoka WHITE LANE kati ya TOTTENHAM v. BOURNEMOUTH
Swafi sana. Mimi leo ni vyema nitangaze masilahi yangu ya kuwa ninawafyagilia sana Bournemouth washindeBournemouth XI vs. Spurs: Boruc; Smith, Francis, Cook, Daniels; Stanislas, Arter, Wilshere, Pugh; King, Afobe.
Swafi sana. Mimi leo ni vyema nitangaze masilahi yangu ya kuwa ninawafyagilia sana Bournemouth washinde