Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mpaka sasa naweza sema Yanga ni bingwa wa Tanzania 99% iyo moja tunasubiria game ya Mwisho Simba vs Mwadui,sio masihara iyo game Simba atatakiwa ampe mtu kipigo cha mbwa mwizi magoli si chini ya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa taarifa za uhakika kabisa na zilizonifikia hivi punde kutoka kwa Mtu wa karibu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba SC na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Simba SC '...
2 Reactions
94 Replies
11K Views
Kwanza kabisa kama wewe ni mkia soma na upite kimyakimya bila kuacha omo.. Pili,kwa nionavyo upepo kombe linabaki nyumbani kwao lilipopazoea so tupange mikakati ya kumpokea mwali sisi kama members...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Sikubahatika kuangalia mechi ya Serengeti dhidi ya Mali lakini nilikuwa nasikiliza matangazo ya Radio One na TBC taifa. Mtangazaji Radio One, Amri Masare kwenye matangazo yake kasema Serengeti...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Simba walikuwa wanapitia kipindi kigumu sana sababu ya ukata wa pesa mpaka baadhi ya wachezaji walikuwa kwenye mgomo wakidai mishahara ,kila mtu ni shahidi wa hili. Tukishuhudia namna mashabiki...
8 Reactions
146 Replies
19K Views
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba SC, Haji Manara amedai anaonewa kwa kupewa lawama zisizomuhusu baada ya kile kinachoaminiwa kuwa naye ni miongoni mwa viongozi walioshiriki katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mzuka wanaJF?! Kama ni Kweli ni miaka yake ni 28 basi mpira unazeesha dah! Inawezekana ni Kweli ni wa mwaka 88 na je huyu hapa chini ni wa 80. Ana miaka 37? Sasa cheki kwa huyu...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakali wa soka nchini ARGENTINA na bara la AMERIKA YA KUSINI kati ya BOCA JUNIORS NICKNAME-LA BOMBONERA _____________na________________ CLUB ATLETICO RIVER PLATE NICKNAME- Los Millonarios (The...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimeona wachezaji wetu wakiwa wapweke wimbo wa taifa unapigwa hakuna washabiki kuwasapoti.TFF ingewapeleka hata washabiki hamsini wafikie ubalozini na mikeka yao
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Uongozi wa Simba SC umetoa taarifa kuhusu mwenendo ya klabu hiyo kwa sasa kufuatia kutokea mgawanyiko kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wengine wakisapoti uongozi wa klabu hiyo kuingia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Meridianbet ni kampuni ambayo ilijipatia umaarufu mkubwa sana na kuwa na followers wengi wanaobet kwao,wakabweteka huduma zao mbovu ukienda kwenye maduka yao,ukiwin kuwithdraw tabu ukienda dukani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siku moja baada ya Simba kutiliana saini mkataba wa udhamini na kampuni ya SportPesa, mdau wa klabu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ anataka kulipwa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 za Tanzania kutokana na...
4 Reactions
108 Replies
14K Views
Uteuzi wa Dr Mwakyembe kwenye wizara ya michezo , hii wizara inayohitaji sana ushirikiano wa wadau mbali mbali ili kuchangia na kusukuma gurudumu la michezo mbele haukuwa sahihi. Uchunguzi wangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ingawa mimi si mwanachama wa Yanga,ni mshabiki wa Yanga. Natoa ushauri kwa Klabu hiyo. Ni ushauri wa tahadhali. Yanga ipambane ishinde mechi zote mbili zilizosalia. Alama tatu zinazobishaniwa na...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni nani ambaye huwa anaongea kama Mhindi? Je ni Maulid Kitenge au Ibrahim Maestro?
4 Reactions
33 Replies
8K Views
MASHABIKI wa Yanga jana waliendeleza vituko na mbwembwe za kuutafuta ubingwa, baada ya kwenda Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, wakati Yanga wakicheza dhidi ya Mbeya City, wakiwa na bakuli la...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Hiki ni kikosi cha Tottenham kinachokisiwa kuanza leo Hiki ni kikosi cha Westham kinachokisiwa kuanza leo By Deadbody(Pweza wa JF)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Ametutoka akiwa na miaka 79. Pole Paul Fassou Antoine Pogba passed away on Friday aged 79 after battling illness In March, Paul Pogba posted Instagram photo of his father with a birthday cake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni vema huyu Kocha akapata maono ya kufundisha kwenye ligi za maana ili kukuza uwezo wake , kuendelea kufundisha soka kwenye ligi inayofanana na picha ya kihindi ni kujimaliza . Picha ya kihindi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…