Mziwandawamama
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 1,303
- 939
Kwanza kabisa kama wewe ni mkia soma na upite kimyakimya bila kuacha omo..
Pili,kwa nionavyo upepo kombe linabaki nyumbani kwao lilipopazoea so tupange mikakati ya kumpokea mwali sisi kama members wa jf ambao ni fans wa timu pendwa (Yanga)
Sio mbaya hata siku hiyo baada ya mechi ya ubingwa tukakutana sehemu kwa sisi wa dar tukajipongeza na kufahamiana au mnasemaje wadau?