Manji na Mo Dewji mliwakataza, Sportpesa mmewaachia!

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia faida ya udhamini, mil 888 kwa mwaka ni ndogo sana Mo anauwezo wa kuwapa
 
Una hoja nzuri ila naona kama una haraka,,wale wameshahonga huko serikalin ndio maana wamepewa fasta ila akina mo na manji hawatak kuhonga na tutazid kulizwa sana
 
Umesema ukweli mkuu ila naona kwa Yanga wamekwaa kisiki kwa hilo dau lao na kuna nafasi wakaongeza
 
Wakina manji na dewji hawakutaka kudhamini bali walitaka kuzimiliki timu au kuzinunua, hawa sport pesa wanatoa pesa tu kwa ajili ya kujitangaza tu, hawaingilii masuala ya ndani ya timu, hapo kuna tofauti kubwa sana mkuu
 
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia faida ya udhamini, mil 888 kwa mwaka ni ndogo sana Mo anauwezo wa kuwapa
Moja ya gazeti la leo Mo ameidai simba 1.4 bil kwa kutoshirikishwa kwenye deal
 
Ni maajabu sana Mo Dewji alikuwa na nia ya kudhamini Simba sc ila serikali ikaingilia kati na kuleta zengwe,sasa sport pesa imekuja na udhamini wa mil 888 kwa mwaka mumewaachia bila kutuambia faida ya udhamini, mil 888 kwa mwaka ni ndogo sana Mo anauwezo wa kuwapa
Screenshot_20170514-130104.png
 
Nadhani Mo na manji walitaka kuzimiliki na sio kudhamini
 
Viongozi wa Simba wamekosea kutomshirikisha MO ambae ndio mfadhili wao mkuu kwenye shida na raha.Endapo wangemshirikisha mo labda ata na dau lingepanda.Ukiangalia million 888 kwa mwaka kwa timu kama Simba nindogo sio kubwa kivile.Ebu oneni stand utd tu ni timu ndogo lakini Acacia walikua wanawapa kama billion moja na point kwa mwaka tu.Sema ubinafsi wa viongozi ndio ulioitafuna timu mpaka migogoro hatimae mdhamini kuvunja mkataba,na simba kinaenda kutokea hicho hicho.
 
Back
Top Bottom