Ni kweli Diego Costa ana umri wa miaka 28?

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,813
32,711
Mzuka wanaJF?!

Kama ni Kweli ni miaka yake ni 28 basi mpira unazeesha dah!

Diego-Costa-794494.jpg


Inawezekana ni Kweli ni wa mwaka 88 na je huyu hapa chini ni wa 80. Ana miaka 37?

Capture.JPG



Sasa cheki kwa huyu international undisputed brilliant universal Lawyer TUNDU ANTIPHAS MUNGWAI LISSU ni wa 1966 ana miaka 49 lakini bado yanki. Yeye anacheza volleyball.

lissu_1.jpg



My Take: Bora volleyball kuliko mpira wa miguu. Mpira wa miguu unazeesha haraka
 
Mrisho ngasa ana 20, mmoja wachezaji ninaowakumbuka kwa kufoji umri ni Michael Essien aliyekuwa the Blues..
 
kama ulishawahi kucheza mpira utaona namna unavyohitaji nguvu nyingi na akili nyingi pia. Unaweza kuanzia hapo kufanya research.
 
Msimsahau haruna wamoshi a.k.a boban, wakati anaenda kukipiga sweden alidai ana miaka 17 akikipunguzia kama miaka 17 hivi!
 
Mzaliwa yoyote wa ulaya hawezi kufoji umri-the system in place ya recording births etc etc is forgery proof
 
Sijasema ka forge....na sisemi haja forge
Brazil bado hawajafika level ya Europe
mambo ya utata wa umri naona yako Afrika pekee. Ukiona gazeti linazungumzia age issues-huyo mchezaji lazima ni mzaliwa wa Afrika
 
Back
Top Bottom