Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Ingawa mimi si mwanachama wa Yanga,ni mshabiki wa Yanga. Natoa ushauri kwa Klabu hiyo. Ni ushauri wa tahadhali.
Yanga ipambane ishinde mechi zote mbili zilizosalia. Alama tatu zinazobishaniwa na Simba bado hazitabiriki. Zaweza kurejeshwa kwa Simba
Yanga inapaswa kuizidi alama tatu Simba. Ili kikitokea cha kutokea,ubingwa wa Yanga uwe salama.
Ni hayo tu.