Sijawaona washabiki wa Serengeti boys kule Gabon

Mashabiki watakuja tu mara tukishinda mechi . Kweli walikuwa wakiwa ila nawapongeza kwa kukaza buti.
 
Nimeona wachezaji wetu wakiwa wapweke wimbo wa taifa unapigwa hakuna washabiki kuwasapoti.TFF ingewapeleka hata washabiki hamsini wafikie ubalozini na mikeka yao
Sidhani kama Tanzania ina Ubalozi nchini Gabon.
Zile Pesa ambazo Waziri Mkuu alishiriki kuchangisha kwa ajili ya hii timu, TFF ingechota kidogo kuwapeleka washingiliaji japo 50 wakaiunge mkono timu yetu. Vijana wamejitahidi sana.
 
Nauli mkuu, si umeona kupeleka timu tu Malinzi alipiga umatonya. Kama TFF yenye prezidenti inapiga umatonya, mimi mkulima wa viazi nitafikaje Gabon?
 
Aisee , sijaona ata bendera yetu kwa mashabiki. Mi nitashangilia kupitia mtandaoni na itabidi ni invite mashabiki wa Gabon wahamie kwetu kwani jana walikata tamaa.
 
Back
Top Bottom