Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1.Emmanuel Gabriel 2.Mandzukic
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Arsenal imeimarisha matumaini yao ya kutaka kuwa katika timu nne bora katika jedwali la Uingereza kufuatia ushindi wao wa mabao 2-0 dhidi ya Southampton. Mabao hayo yalifungwa na Alexi Sanchez na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya michezo ya ligi inachezwa saa Kumi adhuhuri isipokuwa kidogo ile ya timu ya Azam inayochezwa saa moja jioni. Sioni Sababu ya michezo yote kuchezwa muda mmoja wa saa kumi ni...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mechi za fainali za Vijana Africa chini ya miaka 19 zitaonyeshwa mubashara na DSTV. Mechi hizo zitaonyeshwa kupitia Channel 209, channel 233 hii ina maana kuwa sasa tutaona Mechi za Serengeti...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
1.said muhando carter anacheza chiasso ligi daraja la Kwanza 2.orgenes mollel anacheza ureno ligi daraja la kwanza 3.daud aboud yupo ligi daraja la kwanza marekani 4.donald makaramba yupo...
7 Reactions
32 Replies
19K Views
Habari zisizo rasmi inasemekana kua sportpesa watakua wadhamini wa klabu kongwe hapa nchini zinaenda mbali zaidi kua yanga wamepata mkataba mnono kuliko simba . Je yule aliesema tatizo ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi kwa mfano yuke jamaaa wa Kenya alie shida dola 221m ambazo ni tsh 4.8 bilioni za kitanzania yeye alibeti kupitia mtandao upiii maana m-bet na meridian hawana hizo betting za hela nying
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Tumeona Asilimia kubwa ya vilabu vyetu vya soka vikiajiri makocha kutoka nchi nyingine tumewaona akina Micho,Omog,Kelly,Papic,Kondic,Van Plujim,Timbe,Jack Chamangwana,Marehemu Siangaa na wengine...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mipira ipi inayopatikana hapa nchini Tanzania amabayo ni imara kwa michezo namaanisha mpira wa miguu jaman naomba jibu sahihi
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Gabon kushuhudia mchezo mmoja wa Serengeti Boys hawana budi kujikamua Dola 1172 za Marekani sawa na zaidi ya Sh 2.6 milioni za Tanzania. serengeti Boys iko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tukiwa ukingoni mwa ligi mbalimbali huku wengine wakiwa wameshatangazwa mabingwa mfano pale Ujerumani na huku wengine wakisubiri baadhi ya michezo ili kutangaza Ubingwa wao kama pale...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Source : http://www.cafonline.com/en-us/caf/organization/bodies/executivecommittee.aspx
0 Reactions
3 Replies
654 Views
Hadi sasa Yanga fc INA point 62 na michezo 3 Simba sc INA point 62 na michezo Simba sc vs mwadui Simba inafungwa,Kisha Tarehe 16 Yanga inatangaza ubingwa
4 Reactions
16 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Hatimaye TFF waipa Simba SC barua ya hukumu na kuwataka waende FIFA hata leo kama wakiona wameonewa. Kipengele muhimu ktk barua ya TFF kinasema : " Mohamedi Fakhi hakuwa na kadi tatu za njano...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
tazama punga wanalolivuna pale Old traford...mamaaeeeeee... ]
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa zile prediction za mpira zipo thread ngani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
EDO KUMWEMBE WEWE NI SENIOR..LAKINI KUHUSU HILI UMEFELI SANA. Kila mtu mpenda michezo anamjua mwandishi Edo Kumwembe ambaye anaufuasi mkubwa kwenye mitandao ya kijamii. Edo Kumwembe ameonyesha...
34 Reactions
62 Replies
12K Views
Leo ni tarehe 25/4 Ch=3+8+25=36 So=19+15+25=59 Chelsea atashinda Wazee wa mikeka wekeni mzigo wa maana.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom